UNAYE
HITAJI KUJIUNGA NA UMOJA WA VIJANA WA KIKRISTO TANZANIA, TUNAOMBA
UTUMIE EMAIL YAKO KUPITIA BLOG HII,AU WALL NA PAGE YA Umoja Wa Vijana wa kikristo
Tanzania, Na Email Yetu jesus4youth@gmail.com. Ili tukutumie fomu ya
kujinga na Katiba ya Umoja huu.
Unaweza kutuma kwa Email yako Au facebook Msg au comment chagua njia iliyo sahihi, rahisi na salama kwako.
"Tunakupenda Barikiwa"
LONGO NI KUMTUMIKIA MUNGU ALIYE HAI NA KUUJENGA MWILI WA KRISTO TUKIWA KAMA VIJANA TUNAO JUA YESU NDIYE MSAADA KATIKA KILA JAMBO LINALO TUHUSU KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU. HIVYO NA TUUNGANE BILA KUJALI DHEHEBU LAKO HASA UKITAMBUA NI KWAAJILI YA UFALME WA MUNGU WETU ALIYE HAI.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
UHALISIA WA MAISHA YA NDOA. SEHEMU YA KWANZA kabla hatuaja anagalia yaliyo katika ndoa Tutazame Maneno haya ya Daudi, Zaburi 127:1-2 &q...
-
TUNAPENDA KUSHIRIKIANA NAWE KATIKA UNDISHI WA KATIBA YA USHIRIKA WA VIJANA WA KIKRISTO TANZANIA. WAPENDWA TUNAOMBA MPITIE RAS...
-
Kama unahitaji au una weka Order, nakala ya Video iliyochukuliwa siku ya Overnight wasiliana nasi Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania Kit...
-
UNAYE HITAJI KUJIUNGA NA UMOJA WA VIJANA WA KIKRISTO TANZANIA, TUNAOMBA UTUMIE EMAIL YAKO KUPITIA BLOG HII,AU WALL NA PAGE YA Umoja Wa Vij...