Ijumaa, 20 Septemba 2013

NAKALA ZA VIDEO ZA OVERNIGHT

Kama unahitaji au una weka Order, nakala ya Video iliyochukuliwa siku ya Overnight wasiliana nasi
Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania
Kitengo cha ICT
Simu namba +255758487173, +255713787954
Mbeya.


PICHA ZA OVERNIGHT ILIYO FANYIKIA CHUO CHA TEKU MBEYA

KARIBU KATIKA BLOG YETU MPYA KABISA. TUTAKUHABARISHA KWA HABARI YA NENO LA MUNGU NA UPDATES MPYA KABISA ZINAZO YANAHUSU KANISA KWA UJUMLA PAMOJA NA MASOMO YA WATUMISHI MBALI MBALI, AMBAYO YATAKUWA YAKIACHILIWA NDANI YA BLOG HII. BARIKIWA SANA NA KARIBU SANA

Mtumishi wa Mungu akiongoza wimbo wakati wa kuabudu


 Huu ni wakati wa Kusifu hakuna aliyekuwa amekaa. Kwa kwel Mambo yalikuwa ya Moto sana na Tulimwona Mungu kwa namna ya Ajabu na ya kushangaza sana
Ilikuwa HAKUNA KUKAA!!!!! umati wa watu uliokuwa ukicheza na Kumsifu Mungu


Mtumishi wa Mungu Ndugu CHIDUNDO akifundisha somo la UJASIRIAMALI KWA VIJANA




Tunapenda kuwashukuru Ndugu zetu wote waliojitokeza katika maandalizi haya hasa kwa misaada yao ya Hali na Mali walioko ndani na nje ya mkoa wa Mbeya Mungu awabariki sana.

Of course Shughuli ilikamalika sana na ilifana sana. Tunaisubiri Siku ya Maombi ya Taifa itakayo fanyika 09/ Desemba/ 2013 (Uhuru Day). 

UHALISIA WA MAISHA YA NDOA. SEHEMU YA KWANZA kabla hatuaja anagalia yaliyo katika ndoa Tutazame Maneno haya ya Daudi, Zaburi 127:1-2 &q...