Huu ni wakati wa Kusifu hakuna aliyekuwa amekaa. Kwa kwel Mambo yalikuwa ya Moto sana na Tulimwona Mungu kwa namna ya Ajabu na ya kushangaza sana
Ilikuwa HAKUNA KUKAA!!!!! umati wa watu uliokuwa ukicheza na Kumsifu MunguMtumishi wa Mungu Ndugu CHIDUNDO akifundisha somo la UJASIRIAMALI KWA VIJANA
Tunapenda kuwashukuru Ndugu zetu wote waliojitokeza katika maandalizi haya hasa kwa misaada yao ya Hali na Mali walioko ndani na nje ya mkoa wa Mbeya Mungu awabariki sana.
Of course Shughuli ilikamalika sana na ilifana sana. Tunaisubiri Siku ya Maombi ya Taifa itakayo fanyika 09/ Desemba/ 2013 (Uhuru Day).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni